Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA  MZURI SANAA NA IPO  KWENYE MAZINGIRA MAZURI SANA INAUZWA
NYUMBA IPO MBEZI KULIA KAMA UNAELEKEA  KIBAHA 
NYUMBA AIPO MBALI NA MAGUFULI STEND  KM/ 1 TU, KUFIKA ( BARABARA YA  MTAA KONOIKE ROAD KITUO KONTENA UKISHUKA DK  ZIRO)
MUUNDO WAKE
KIWANJA KINAUKUBWA  20 KWA 40
NYUMBA INAVYUMBA 4 VYAKULALA  KATIYAIVYO  2 NI MASTAR  JNAPABLICK TOILET INA SEBULE KUBWA INADINING INA JIKO KUBWA
UKUTA MZURI SANA PEVING BLOCK MZURI SANA  NYUMBA IMEJENGWA KWAUBORA MKUBWA SANA
PIA INAHATI YAMAKAZI NA BIASHARA
BEI 160/ MILIONI MAONGEZI KIDOGO YAPO
KUIONA NYUMBA 30
CAL
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343



















