Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


JUMBA LENYE HATI,VYUMBA 4,TSHS.150 MILIONI MBEZI-MAKABE.
Nyumba ni kubwa na ina nafasi ndani na nje pia.
Ipo MAKABE-KANISANI,
Mita 100 tu kutoka Barabara inayoelekea MSUMI.
Vyumba vya kulala 4 (2 Vyoo ndani)
Pia kuna Servant's Quarter yenye
Vyumba 2 vya kulala.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 860.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
INAFAA SANA FAMILA INAYOHUTAJI UTULIVU.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.