Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbuyuni, Morogoro


ENEO ZURI KUBWA LENYE NYUMBA NNE NDANI YAKE LINAUZWA KWA NIABA YA BANK KINYEREZ MBUYUNI KWA KOMBA - DAR ES SALAM.
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Kuna Nyumba Mbili Za Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Na Chumba Kimoja Master Kina Jitegemea
Pia Kuna Pagale la Vyumba Vinne Kati Ya Ivyo Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement )
Ukubwa Wa Eneo: SQM 2,500
Umbali: Meter 800 Tu Kutoka Barabara Ya Lami
Bei : 55 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=