Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam
Nyumba Inauzwa,
Ipo Mbweni Mpiji,
Umbali kutoka lami ni mita 400,Sqm 1,269.
Bei Milioni 650,
Hati Miliki ipo,
Nyumba ina vyumba 4, vyote ni Master, store, sebule , jiko na dining.
Pia kuna kijumba nyuma cha chumba 1, nacho ni self contain.
Nyumba ni Mpya Kabisa.
Mtaa ni Mzuri na Salama.
Wasiliana nami kwa
+255718809744
+255784234971
+255762447173
Service charge 20,000