Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Nyasaka, Mwanza


🗣️ GOROFA LINAUZWA 🏢
📍IPO MWANZA NYASAKA CENTER
• Lina vyumba vinne vyakulala, vyumba vyote ni master, sebule kubwa, dinning area, jiko smart, public toilet, servant qauter n.k
• Nyumba ipo location nzuri sana ya kibabe
• Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki
• Nyumba Imekamilika Kila Kitu Tajiri
BEI: MILIONI 500 Tsh
Piga simu kwa maelezo zaidi: 0754980027


















