Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


.
Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Tabata Kinyerezi Saluni
Bei: Milioni 300
Dk2 Kutoka Lami Ya Tabata, Mtaa Ni Wa Kishua Sana🙌🏻
☑️Sqm666
☑️Vyumba 4, Vitatu Ni Master, Sebule, Dining, Jiko Na Choo
☑️Hati Miliki Ya Wizara
☑️Cctv Camera, Fensi Ya Umeme
☑️Maji Dawasa & Reserve Tank
Piga: 0769138053