Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba Ya Kisasa Inauzwa
Mahali: Tabata Kinyerezi Saluni
Bei: Milioni 350
Dk2 Kutoka Lami, Mtaa Ni Wa Kishua Sana🙌🏻
☑️Sqm666
☑️Vyumba 4, Vitatu Ni Master, Sebule, Dining, Jiko Na Choo
☑️Fensi Ya Umeme, Garden, Cctv Camera
☑️Maji Dawasa & Reserve Tank
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz