Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tangazo, Mtwara
Tangazo tangazo tangazo
Gorofa hili linauzwa
Lacation mabibo mwisho
Price milioni 250
Service charge yakupelekwa sait ni shilingi elfu thelathini
Gorofa hili lina vyumba vinne vyakulala
Viwili ni master bedroom
Ndani goroofa limekamilaka kwakuiishi
Gorofa hili mbele yake kuna fremmu moja ya biashara
Hati miliki hipo
Qswea mita 500 kwa eneo lote
Contact namber from dalali -0719131551