Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Vigwaza, Pwani
NYUMBA INAUZWA NA BANK, TSHS.12 MILIONI, VIGWAZA.
Hapa ni Mlandizi baada ya Daraja ukielejea Chalinze.
Ina vyumba vine (4)
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 40p.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni umbali wa Mita 700 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
VIGWAZA.( Tshs.1,000 kwa Boda)
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Imejengwa kisasa.
Vyumba 4 ( Masta 1) Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.