Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Wazo, Dar Es Salaam


π‘ NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA β TEGATA WAZO
π Eneo: Tegeta Wazo
Nyumba kubwa ya kifamilia, yenye nafasi ya kutosha na mazingira tulivu!
πΉ Vyumba 4 (kimoja ni master)
πΉ Sebule kubwa yenye mwonekano wa kisasa
πΉ Jiko lenye nafasi nzuri
πΉ Dining ya familia
πΉ Stoo
πΉ Public toilet
π Ukubwa wa kiwanja: 2000 sqm
π° Bei: Milioni 700 TZS
hati safi yawizara
π Wasiliana:
dalalimbezibeach_goba_salasala
0715127812