Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Stand Alone House Inapangishwa: #GOBA_NJIA_MAKONGO
Location :: Goba centre km 1.7 toka Lami
Kodi 2,000,000/= kwa mwezi
HAPA ANAHAMA MWENYE NYUMBA WAHII NDUGU MTEJA
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vitano (vyote ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
Boy coter
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
Calls
#0713664151☎
#0686913424⏭️