Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Inapangishwa:
Stand alone house
Location :: Goba centra km1 kutok lami
Bei yake ::1,000,000 kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vitano (vyote Master)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Electric Fence
Call/Whatsapp;
0689193185
0743456099