Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
STAND ALONE
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-GOBA ROAD
NYUMBA LAMI NYUMBA MPYAAA
______________
KODI USD 1,000$ KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA PAMOJA NA BOY KOTTA YA VYUMBA VIWILI
_______
YENYE:-
Vyumba Vitano vikubwa vya kulala #MASTER#Sebule 3kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public Full Ac
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden
#FencedHouse
____________
Nione
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812
_______
Pia viwanja Vinapatikana vya KUNUNUA
🙏