Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam
Apartimen inapangishwa
Ni stand alone vyumba vitano
Vyumba vinne ni masta
Nyumba ipo kijitonyama
Bei mlilion 2.5
Piga simu 0788 381481
Service charge 30,000
Bila kusahau mwezi mmoja wa dalali