Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam
STAND ALONE HOUSE FOR RENT
Loc: kijitonyama
Price:2,500,000 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Vyumba 5 vya kulala sebule, jiko full tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi parking kubwa parving block inafaa kwa ofisi,makazi ipo karibu na main road
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈