Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#STAND ALONE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
PIGA SIMU 0755831740
NYUMBA INA VYUMBA VITANO VYA KULALA NA KIMOJA MASTER BEDROOM
Vyumba vyote vina makabati ya nguo
PIA KUNA CHUMBA KIMOJA CHA NJE( SERVANT CORTER)
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Full security
Parking kuuuuubwaaaa sanaaa
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji au pikipiki 1000
Kodi 600,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--- 0764575774