Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







300K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJI DALALLDALA SH 5OO
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE NI MASTER SEEBULE KUBWA MNO YA KUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
TYRIES JIPSUM MADIRISHA WAVU MAKUBWA YENYE HEWA SAFI
FENSI FUPI GETI HAKUNA PARKING SPACE IPO ( GARAGE )
ZIPO APARTMENTS MBILI TU KWENYE COMPOUND MOJA NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA UMEME PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB;
NYUMBA HII IPO KWENYE MAREKEBISHO NAMALIZA MAFUNDI WAPO KAZINI, INAPIGWA RANGI UPYA NJE NA NDANI PAMOJA NA MAREKEBISHO MADOGO MADOGO
ITAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 20.11.2025
KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA
SERVICE CHARGE NI 20,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO ZAIDI
CONT O677370515



















