Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KUHAMIA HATA SASAIVI INA PANGISHWA
KODI 300,000X4/5/6
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA NA STORE
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0785889413