Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam





NYUMBA MPYA, VYUMBA 5, MADUKA 2, TSHS.37 MILIONI, KINYEREZI MWISHO.
Vyumba na Maduka vyote vina Wapangaji.
Makusanyo ya KODI jumla ni Tshs.400,000/Mwezi.
Ni mwendo wa Dakika chache tu kufika kituo cha Daladala.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.