Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
#VYUMBA_VITANO_VYAKULALA
INAJITEGEMEA FENCE NYUMBA
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH MAKONDE UPANDE WACHINI DAKIKA 2 KUTOKA MAIN ROAD
______________
KODI MILIONI ( 2 )KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Vitano vikubwa vya kulala #MASTER , TATU ,Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden
#