Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
9/8/2024
Nyumba inapangishwa stand alone
Location mbweni jkt
Vyumba Vitano masterbedroom 3 daining sebule jiko pablick toilet maji umeme paving block electric fence garden CCTV camera
Bei mil 1,200,000 Kwa mwezi
Malipo miezi 6
Contact Whatsapp
0683983630
0677891011
Sevice chage elfu 20