Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


House for Rent Stand Alone ya vyumba vi5 kimoja master sebule kubwa dining Kitchen public ya ndani na nje electric fence parking pevin rizevu tank 400k TABATA CHAMA
Location Tabata Kimanga
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 5 Moja ni Master Bedroom Kubwa
Sitting room Kubwa
Dining room
Kitchen
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565