Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA – TABATA BONYOKWA! 💰✨
📍 Eneo zuri la biashara, Tabata Bonyokwa
🏠 Nyumba mpya kabisa, safi na standard
🛏️ Vyumba 5 vya Master (kila chumba kodi 100K)
👥 ZOTE ZINA WAPANGAJI TAYARI! (Mapato ya uhakika mara moja)
💧 Maji ya DAWASA + Water reserve tank
🛣️ Mfika rahisi sana, mtaa wenye wateja wengi
📏 Ukubwa: 400 SQM
💰 Bei: Tsh 60 Milioni tu
Wekeza leo, pata cash flow mara moja na thamani inayopanda kila siku!
Piga sasa: +255 688 412 890
Fursa kama hii haiji mara mbili! 🚀



















