Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Bunju, Dar Es Salaam







Nyumba Inauzwa,
Ipo Bunju B
Ukubwa wa Kiwanja
Sqm 2500
Ina vyumba 5 vyote ni Master. Viwili vipo chini vutatu vipo juu.
Dining, Sitting, Kitchen, Store, Public Toilet.
Pia Kuna boykota ni Self Contain,
Parking,Garden Kubwa.
Maji ya Dawasa
Umeme Tanesco
Hati Miliki Ipo
Bei-Milioni 950 Maongezi Yapo
Gharama za Kuona 20000
Wasiliana nami kwa namba 0718 809744
0784234971