Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA YA KIFAHALI INAUZWA
๐ NYUMBA HII YA KISASA INAUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 5 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO
#AIR- CONDITION
#GARDEN NZURI
#CCTV CAMERA
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 1018
DOCUMENTS :- HATI MILIKI MKONONI KUTOKA WIZARA YA ARDHI
Bei Million 240 ( MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA )
NYUMBA HII YA KIFAHALI IPO GOBA - KINZUDI NA IPO MTAA MZURI SANA MTAA WA KISHUA . UNAPITIA GOBA ROAD UNAINGIA BARABARA YA KINZUDI ROAD HADI SITE
PIA UNAWEZA KUPITIA AFRICANA NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.