Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA YA KIFAHALI INAUZWA
🌟 NYUMBA HII YA KISASA INAUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 5 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO
#AIR- CONDITION
#GARDEN NZURI
#CCTV CAMERA
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 1018
DOCUMENTS :- HATI MILIKI MKONONI KUTOKA WIZARA YA ARDHI
BEI SH MILIONI 240
MAONGEZI YAPO
💫💫 NYUMBA HII YA KIFAHALI IPO GOBA - KINZUDI NA IPO MTAA MZURI SANA MTAA WA KISHUA . UNAPITIA GOBA ROAD UNAINGIA BARABARA YA KINZUDI ROAD HADI SITE
PIA UNAWEZA KUPITIA AFRICANA NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
0746 433 854