Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba mpya kali sana ya kisasa inauzwa:
Ipo mtaa wa matajiri mtaa wa kibabe sana mtaa wa maghorofani
Room 5 masta 4
Dirning sitting 2 jiko stoo public toilet na maji dawasco
Swimming ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ pool na public toilet ya nje
Eneo-sqm 920
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 950 fixed
Location- goba kulangwa maghorofani
Umbali-mita 500 kutoka main road deez pub
Karibuni
0746 433 854