Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Ghorofa ya kisasa inauzwa kigamboni kibada kwa mteja siliasi mil 600,000,000/= maongezi mezani
Call: 0710013234 ≈≈≈ 0754908045 ( Whtsp )
▪️ghorofa ina jumla ya vyumba sita (6) master bedroom tano [5] dinning jiko stoo nk
▪️Ina servant quarter ya vyumba viwili na sebule na choo pamoja na jiko la nje
▪️Ina bolcon mbele na upande wa nyuma pia kuna darry au stoo yabkuhifadhia vitu vyepesi
▪️Nje kuna garden ya maua na miti ya matunda
▪️Ina hattibmiliki na document zote zipo
▪️Eneo sqm 902 ( njooni chapu )
▪️Gharama ya kwenda kuangalia nyumba ni 30,000/= tu