Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ya ghorofa Ina uzwa Kigamboni Kibada Bei Bilioni 1 nyumb ina vyumba Vitano vya kulala sebule jiko dinning ukubwa square meter 1500 full documents mtaa wa kishua Zaid meter 700 kutoka main road
☎️0693 468394