Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


GHOROFA INAUZWA KIGAMBONI KIBADA CHEKECHEA NYUMBA YA VYUMBA 5 VYAKULALA STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOILET PUBLIC MASTER BEDROOM STOO NYUMBA BEI ML 600 TU GHOROFA LINA SQMT 1000 ARE NYUMBA INA HATI MILIKI KABISA YAWIZARA YA ALIDHI NYUMBA INA ANGALIA BARABARA YA LAMI YA MTAA WAKISHUA SANA TAJIRI PGA SIMU TWENDE SAITI TUMALIZE BIASHARA SERVICE CHAJI 50K
#0758998074👈
#0689138795whatsapp