Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigogo, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Kigogo Mkwajuni, ipo mita 200 kutoka main road njia Tabata Matumbi
■Ina vyumba vitano
■Kimoja Master
■Public washroom mbili
■Sebule
■Frem moja ya biashara
■Bei 45m tsh
■Document: Leseni ya Makazi
CONTACT
O747196597 WhatsApp
0718618508
0696288247