Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kijichi, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE KIJICHI (GHOROFA)
*LINA UKUBWA WA SQUARE METER 2700
*LINA HATI SAFI KABISA YA WIZARA
*LIPO MITA 200 TOKA MAIN ROAD
*LINA VYUMBA VITANO NA KILA CHUMBA NA CHOO CHAKE BINAFSI, PIA LINA MASTER KUBWA SANA
*LINA DINNING, SITTING ROOM YA KISASA, STOO, PUBLIC TOILET, OFFICE NDOGO NDANI, LINA JIKO ZURI SANA, MAJI YA KISIMA SAAFI KABISA, LINA SERVANT KOTA MBILI, LINA KAMERA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA USALAMA
*BEI NI BILIONI 1.3 TU MAONGEZI KIDOGO YAPO
*KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE 📲☎️ 0753999903