Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kiluvya, Pwani







KIWANJA SQM.3,000 NA NYUMBA-2,TSHS.110 MILIONI,KILUVYA KWA KOMBA.
Hii eneo lipo Kiluvya ya-upande wa Dar.
Kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Hili enei lipo ndani ya Fensi na Geti lake.
Ndani kuna nyumba ya kizamani yenye vyumba 3,
Na Pagale lililoishia kwenye Linta ambalo lenyewe lina jumla ya vyumba 5,
Kila Chumba na Choo chake ndani.
Mtaa ni tulivu.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.