Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA TATU PAMOJA/HATI,KIWANJA SQM.1,500,TSHS.400 MILIONI,KIMARA STOP-OVER.
Mtaa tulivu na umbali wa kilomita moja tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Nyumba kubwa ina jumla ya vyumba 5,
Sebule mbili,Masta 1.
Kiwanja kina ukubwa wa .1,500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_______________
ANGALIZO;
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mpg
ara stop over nyumba tatu ndani ya kiwanja kimoja



















