Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


GOROFA NZURI LINAUZWA
Mahali: Kimara Temboni
Bei: Milioni 330
Km1 Kutoka Barabara Ya Lami, Barabara Mkeka Kwa Gari Zote
☑️Sqm600
☑️Vyumba 5, Vitatu Ni Master
Sebule (2), Dining Jiko (2) Store Na Choo
☑️Ac, Heater, Garden, Balcony
☑️Maji Dawasa & Reserve Tank
☑️Hati Mpya Itatoka Kwa Jina La Mnunuzi
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
0746 433 854