Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 5, TSHS.27 MILIONI, KIVULE NYANG'ANDU.
Hii ni nyumba kubwa na eneo la Kiwanja ni kubwa. Unaweza kujenga nyumba nyingine na bado ukapata Parking yakutosha.
Kifupi hapa ni pa kujiachia.
Achana na huko unakobanwa mbavu,
Hata kupumua shida mnanyang'anyana Hewa.
Kizuri zaidi BEI MSEREREKO.
MUNGU AKUPE NINI TENA?
Au umerogwa ili usione vitu vizuri?
HAIWEZEKANI.
NAKUPENDA, WAHI UKUJE KIVULE, HUTAJUTIA.
Vyumba 5 (Masta 1)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ina Tiles na Dirisha ni za Vioo.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.