Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mawasiliano, Morogoro







NYUMBA BORA NA NZURI INAUZWA MBWANGA JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 700 sq.m
Ina vyumba vitano
Master bedroom nne
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Maji/Umeme upo
Ipo ndani ya fensi
Bei ni Tshs. 180,000,000/= ( milioni Mia moja na themanini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"