Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
YES YES WADAU WANGU KWA MALA NYINGINE TENA DALALI WENU RICK LOSS
NAWALETEA NYUMBA IYO INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 59 TU
NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZ MAGENGENI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZ MTAA WA DOVYA
KUNA NYUMBA KUBWA NA MABANDA YA UWANI YAPO MATATU YANA VYUMBA 5 VYA KULALA
NA HII NYUMBA KUBWA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE PAMOJA NA PUBLIC TOYLETY INA KISIMA CHAMAJI NA UMEME UPO WA LUKU
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITAR 700
INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
KUTOKA STEND YA CHAMAZ MAGENGENI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI DAKIKA 2 TU
NJOO UONE LIVE MDAU WANGU UKIWA SERIOUS UWEZI KUIYACHA NI NZURI SANA #0683491594#0716974073