Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA
INAUZWA
IPO MBEZI BEACH UPANDE WA
RAINBOW
BEI NI DOLLAR
USD 590,000
INA VYUMBA VITANO VYA KULALA
SEBULE MBILI
PAMOJA NA SERVANTKOTA
INA HATI MILIKI TOKA WIZARA [TITLE DEED]
KWA MAWASILIANO ZAID
+255745111333 WhatsApp/ call



















