Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam


*Nyumba ya Ghorofa inauzwa Mbweni Ubungo*
*Neighbourhood* Mtaa umejengeka nyumba nzuri za hadhi.
-Nyumba ina vyumba 5 vyote master bedrooms, chumba kimoja kati v5 kinajitegemea mlango, Juu vipo vyumba 3 vya kulala, chini vyumba 2, study room, kitchen, store, dining room, sitting room na public toilet.
-Nje kuna chumba kimoja cha kulala cha mlinzi pamoja na choo chake nyuma ya nyumba kubwa.
*Parking shade* Eneo maalum kwa ajili ya kuegesga magari yasipigwe na jua
-Plot size Sqm 806
-Document: Title Deed
*Bei shilingi Bilioni 1.3 maongezi yapo*
+255789148277