Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mtoni, Dar Es Salaam







GHOROFA YA KISASA, VYUMBA VITANO (5) TSHS.1.2 BILIONI,MTONI KIJICHI/MIANDE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hili eneo ni UZUNGUNI.
Pamejengeķa hasa, ni salama na utulivu wa hali ya juu.
Ina vyumba 5 vya kulala, Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255 714 5915.
__________dtKj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.