Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mwembe, Kilimanjaro


Nina nyumba yangu nauza. Ipo Mwembe Mtengu. Barabara ya Kigamboni, kati ya Kibada na Toangoma.
1. Vyumba vitatu, viwili master (Master 1 ina walk in closet)
2. Public toilet
3. Sitting Room
4. Dining Room
5. Jiko
6. Store
7. Ina fensi
Ina umeme na maji na kumejengeka. Hati ya Serikali ya mtaa, ukubwa wa eneo ni 600 Sqm.
Bei 120M mazungumzo kidogo yapo.
Nipigie 0686 705 903