Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Pangani, Pwani


NYUMBA NZURI YENYE VYUMBA VITANO(5) TSHS.135 MILIONI, PANGANI, KISAUNI/UNGUJA.
Hapa ni umbali wa kilomita 8.5 tu kutoka STONE TOWN, Mwendo wa dakika 15 tu kwa Gari.
Vyumba 5 (3 Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule-2, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba Ina Kisima na Parking.
NI NYUMBA YAKUHAMIA .
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.