Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Sinza, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
SINZA PALESTINA
BEI: INAANZIA MILIONI 280
Ni 100 mita kutokea Shekhlango road
TAARIFA ZA NYUMBA
📍Ina Hati miliki
📍Nyumba ina vyumba 5 kimoja master
📍Sitting room zipo 2
📍 Dinning 2
📍 Kitchen
📍 public toilet 2
📍store
📍Nyumba iko sehemu nzuri kwa biashara na makazi
📍Maji
📍Umeme
📍Electric fence
Mazungumzo yapo
For more infomation contact us📞0673200848