Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Vikindu, Pwani







NYUMBA NZURI SANA YA GHOROFA INAUZWA BINAFSI.
LIPO VIKINDU WILAYA YA MKURANGA MKOA WA PWANI
IPO MTAA MZURI SANA
AREA :SQM 1000
PRICE : MIL 330
UMILIKI : TITLE DEED.
SIFA:-
-5 BEDROOMS , SELF ZOTE
-SITTING ROOM 2.
-DINNING ROOM.
-KITCHEN & STORE.
-PUBLIC TOILET.
-PARKING SPACE.
-FENCE / GARDEN.
-KISIMA CHA MAJI.
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 50. HII HAIHUSISHI USAFIRI.
MABOSI WANGU WENYE VIWANDA MASHAMBA NK HUKO MKURANGA,, HII INAWAFAA SANA....
0746 433 854
KARIBU TUWASILIANE