Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Viwandani, Dodoma

 media -1
media -1
Sh. 350,000,000

NYUMBA INAUZWA
MAHALI DAR ES SALAAM (DUCE)upande wa viwandani mita 20 kutoka lami kubwa na nyumba iko barabarani kutokea taifa kwenda duce,
Nyumba iko taifa karibu na chuo cha duce upande wa pili wa bandari kavu, pia Nyumba Ina vyumba vitano vinne kawaida na master moja pia kuna mabanda ya nje
Eneo lina ukubwa wa sqm 700

Nyumba ina details zote ina hati miliki ipo, pia haina mgogoro wowote

BEI MILLION 350/=

dalali_kibaha_tz#kibahamailimoja#kongowe#mlandizi#ruvu#chalinze
dalali_kibaha_tz
dalali_kibaha_tz#kibahamailimoja#kongowe#mlandizi#ruvu#chalinze

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Viwandani, Dodoma

Sh. 350,000,000

NYUMBA INAUZWAMAHALI DAR ES SALAAM (DUCE)upande wa viwandani mita 20 kutoka lami kubwa na nyumba iko...

Kiwanja kinauzwa Viwandani, Dodoma

Sh. 3,500,000,000

Eneo la Viwandani linauzwa Mbezi Beach Jogoo umbali mita 100 KutoKa stendiUkubwa wa eneo niSquare me...

Kiwanja kinauzwa Viwandani, Dodoma

Sh. 4,000,000,000

Eneo la Viwandani linauzwa Mbezi Beach Jogoo umbali mita 100 KutoKa stendiUkubwa wa eneo niSquare me...