Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







KODI NI 200,00O KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI NYUMBA NZURI INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE YA PEKE YAKE. STAND ALONE
.
HII NYUMBA IPO BUNJU B
.
KUTOKA BUNJU B KITUON KWENDA KWENYE NI KM 2.5 USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 BODA 15000
.
HII NYUMBA NDG MTEJA WANGU GARI HAIFIKI NYUMBAN VIZURI KUFUATANA NA CHANGATO ZA MVUA BRBR IMEARIBIKA KIDOGO
.
SIFA ZA NYUMBA
==========
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
NYUMBA INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO NDAN YA FENS PERVING BLOCKS SAFI MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN MASAA 24
.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NDUGU MTEJA WANGU
.
SERVICHAJ NI ELIFU 15
.
CONTACT
0712656027