Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


π NYUMBA YA VYUMBA 3 - BUNJU π
π Mahali: Bunju - Dakika Moja Upo Stand
πΉ Vyumba 3 vya kulala (1 ni Master)
πΉ Sebule ποΈπ½οΈ
πΉ Jikoni yenye nafasi
πΉ Choo cha public
πΉ Maji: DAWASCO (unajitegemea) π§
πΉ Umeme: LUKU (unajitegemea) β‘
πΈ Kodi: TZS 250,000/= kwa mwezi
π Malipo ya kuanzia miezi 4
π§Ύ Service Charge: TZS 20,000/=
π Wasiliana:
π± 0687 800 788
π± 0713 958395