Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI SANA INAPANGISHWA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI (STAND ALONE)
___________
LOCATION: BUNJU 'B' - Njia ya Mabwepande.
___________
Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala, Chumba 1 Master, Sebure, Dinning, Jiko, Stoo na Public Toilet.
Pia kuna vyumba vitatu vya Nje pamoja na Banda la kufuga.
KODI: Tsh. 350,000/=Kwa Mwezi X 6
___________
Service Charge: Tsh.20,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788