Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
NYUMBA KALI SANA INAPANGISHWA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI (STAND ALONE)
___________
LOCATION: BUNJU 'B' - 1KM Kutoka Main Road.
___________
Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala, Vyumba 1 Master, Sebure, Dinning, Stoo, Jiko la kisasa na Public Toilet.
KODI: Tsh. 500,000/=Kwa Mwezi X 6
___________
Service Charge: Tsh.30,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788